Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statista

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics

1. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ - tani 174 za kipimo
2. Afrika Kusini πŸ‡ΏπŸ‡¦ - tani 125 za metric
3. Libya πŸ‡±πŸ‡Ύ - tani za metric 117
4. Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬ - tani 80.73 za metric
5. Moroko πŸ‡²πŸ‡¦ - tani za metric 22.12
6. Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ - tani 21.37 za metric
7. Mauritius πŸ‡²πŸ‡Ί - tani 12.44 za metric
8. Ghana πŸ‡¬πŸ‡­ - tani 8.74 za metric
9. Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³ - tani 6.84 za metric
10. Msumbiji πŸ‡²πŸ‡Ώ - tani 3.94 za metric

 
KUNA NCHI NAITAFUTA INAPATIKANA MASHARIKI MWA AFRIKA SIIONI?
 
Yani tumezidiwa hadi na Mauritius?.. Nchi ngumu sana hii kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa hali ya uchumi wa dunia unavyokwenda, kuna uwezekano kwamba ndani ya miaka kumi hadi ishirini ijayo US Dollar itapoteza thamani yake kwa kiwango fulani, hasa kutokana na uwezekano wa mataifa mengi kuanza kupunguza USD reserves wakiogopa kutendwa na Marekani alichotendwa Russia.

Kwa sababu hii, inabidi Tanzania iongeze akiba yake ya dhahabu ili kusaidia katika kukabiliana na msukosuko wa kiuchumi utakaotokea wakati USD itakapoanza kupoteza global dominance. Ikumbukwe kuwa Dhahabu na USD zina mahusiano kinzani katika thamani zao (inverse relationship). Kwahiyo, mwokozi wa dunia wakati huo atakuwa Dhahabu kwa sababu thamani yake itakuwa juu.
 
Ni aibu kubwa saaana , hii imesababishwa na poor incompetent administration ..........we need change reserve ya dhahabu ni muhimu saana kwa uchumi wa Taifa lolote Duniani .....
 
Dhahabu haishuki dhamani ndio maana matajiri wakiona wanafilisika wananunua dhahabu na kuweka kama reserve..kama nchi pia dhahabu ni muhimu kuweka reserve ikitokea dharura sio inauzwa yote tuu.russia kaingia vitani bila uoga kwasababu ana reserve ya dhabu yenye thamani ya dola bilion 500 ndani hata vikwazo viwejeww haumii kiuchumi
 
Kwamba DRC hawamo?,Hizo takwimu zina walakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…