Cordy bnei shirk
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 324
- 237
Habari zenu.
Hii bank sikuwahi kuitumia Wala kuijua,Binafsi Kwa miaka mingi natumia CRDB na NMB.
Katika pirikapirika na mishe mishe za mjini nikajikuta nimeandikiwa cheque ya NBC. Nilipofika Kule nilihudumiwa chapchap Kwa weledi and customer care Bora kabisa.
nilifungua account moja ya saving na nyingine ya kawaida,nikapewa na CArd zao za visa za kisasa kabisa(kama card za absa) pamoja na kuingiziwa pesa haraka ya Ile cheque niliyoandikiwa.
Account zao hazina makato, account yao ya saving Ina 7%interest per month pia ni nzuri sana kusave maana huwezi toa pesa mpaka mda Fulani.
Pia kazi zao za ATM ni nzuri na za kisasa pia nazitumia kununua mtanadaoni bila longolongo. Hakika hii bank imejipanga sana.nimekua mteja wao rasmi na ndio itakua official bank yangu