KERO NBC 0800711 177 Huduma kwa wateja haipokelewi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mbute na chai

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
561
589
Nimepiga nakuambiwa simu inaunganishwa na watoa huduma zaidi ya dk 10. Hii ina maanisha wahudumu wao wamezidiwa au ndo anapokea anapojisikia!!
 
Mkuu hao hawapokeagi simu..ipo ile namba yao nyingine ya dharura ipo ktk ATM zote unaweza piga simu mpaka ukaishiwa chaji na isipokelewe
 
Back
Top Bottom