Nawezaje kuzipata tamthilia za zamani za kibongo kama vile Taswira, Ngurumo, Radi na Safina?

Reptilia

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
861
842
Mu hali gani wadau poleni na mchakato mzima wa DPW pamoja na TEC. Rejea kichwa cha habari hapo juu nataman sana kuzipata hizo tamthilia nimejaribu kuzitafta youtube na platform mbali mbali lakin siku hambulia chochote TASWIRA NGURUMO RADI SUNAMI dah kitambo sana nadhan miaka ya 2005 hivi,mwenye kujua chocho gani naweza kuzipata anipe maelekezo.

Shukrani sana wadau
 
Mu hali gani wadau poleni na mchakato mzima wa DPW pamoja na TEC ,Rejea kichwa cha habari hapo juu nataman sana kuzipata hizo tamthilia nimejaribu kuzitafta youtube na platform mbali mbali lakin siku hambulia chochote TASWIRA NGURUMO RADI SUNAMI dah kitambo sana nadhan miaka ya 2005 hivi,mwenye kujua chocho gani naweza kuzipata anipe maelekezo
shukrani sana wadau
Ongezea na ile tamthilia Jahazi pia
 
Back
Top Bottom