Nawezaje kuwa wakala wa Premier Bet au Meridian nje ya Dar?

Sure hapa hata mimi uniambie nichambue league ya Scotland lazima nitachambua vizuri mno
Haa haa haa aiseee me hata league
Ya Syria naijua kuliko hata kina
Shafii na Edo kumwembe
Siku za baadae mtakuja kuwa wachambuzi ewazuri Wa michezo kwenye TV Na Radio maana huwa MNA kibarua kigumu cha kufuatili ligi mbalimbali
Hata Sasa hv n vle tu cv zetu
Hazrushusu kupewa kaz
 
Natamani kuwa agent wa hizo kampuni, mwenye uelewa wakuuu
Assalam alaykum Kiongozi

Kama upo Dar, ofisi za hawa jamaa zipo mtaa wa Sukuma na Sikukuu, karibu na Soko la Kariakoo Au njoo hadi Petrol station ya Big Born, Nyoosha na barabara inayoenda mnazi mmoja, utapita mitaa kama mitatu hivi kama sikosei. Unatakiwa kwenda na Doc, ambazo ni barua yako ya maombi ya uwakala na utakayoambatanisha na barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji wa mtaa, copy ya kitambulisho na barua za wadhamini wawili zilizoambatanishwa na copy za vitambulisho zao na barua zao za utambulisho kutoka kwa mtendaji wa mtaa.
Nadhani umenipata? Kama utahitaji private number ya sales manager njoo inbox Kiongozi
 
NAOMBA NAMBA YAKO
 
Back
Top Bottom