Digaller
JF-Expert Member
- Oct 20, 2009
- 810
- 575
Msaada,
Nina simu Blackberry ila siwezi kuitumia kwenye Internet na Jamaa zangu wa karibu wameniambia kuwa lazima niende makao makuu au sehemu ambayo ni branch ya mtandao ninaotumia ndipo wataweza kuniunganisha na Internet na kwa mwezi itanikost kama 40,000 Tsh.
Wadau naomba njia nyingine ambayo itaweza kunisaidia kutumia internet ya hii simu bila kwenda kwa branch za hawa jamaa na nifanye configuration mimi mwenyewe na niweze kutumia hii simu hata kama nina 500/= ndani ya simu. Msaada Plz!!!