Heshima kwenu marafiki
Nahitaji kujua namna navyoweza kupata machine ya selcom, nipo wilaya ya Kinondoni,
Tafadharini naombeni msaada kwa wanaojua namna ya upatikanaji pamoja na vigezo na masharti
Wasaalam
Mi ninayo mpyaa kabisa, niliorder then ikaja wakati nilishafunga duka..kwahio nikatumia airtime iliyokuwepo..nilinunua 850,000 at that time, muda wa hewan 200,000, na mashine 650,000..kama unataka nipm nikuuzie