Backend
Member
- Jul 26, 2022
- 11
- 15
Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimiaš¤ hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zoteš.
Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa nimechukia hatua ya kutaka kuagiza Bidhaa moja kama majaribio ya kuona itagharimu kiasi Gani mpaka kunifikia kutoka huko China.
Hii bidhaa Hair dryer Kwaaajili ya saloon ya kike Bei ni kama 130k
nimeuliza transporter Bei ya kusafirisha kwanjia ya Meli mpaka TZ kanambia CBM 1 Wanasafirishia Kwa $430(1,171000)
Sasa nkakosa muelekeo je nifanyeje? Bei inaonekana kubwa ya kusafirisha pia Bei za hair dryer Tanzania mpya unaweza pata mpaka 220k naomba mwongozo wenu wakuu.
Asanteni.