monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 792
- 1,294
Nimejaribu kusearch sikufanikiwa kupata hizi airpods msaada kwa anayefahamu supplier anayeuza nahitaji kuagiza kutoka alibaba
Mkuu hebu nielekeze inamaana unaongea na seller aweke nembo kwenye box na kwenye airpods au?Hizo model yake ni f9
Ila jbl anapachikwa tu juu kama mvuto
NdioUnataka copy
Unaongea naye hio system kwa sasa alibaba ipo moja kwa moja unamwambie kabisa andika hiviMkuu hebu nielekeze inamaana unaongea na seller aweke nembo kwenye box na kwenye airpods au?