Naweza kupata wapi matangazo ya mpira wa miguu ya mechi mbalimbali zilizopita yaliyo katika maandishi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
7,329
9,643
Habari wakuu wangu,
Naweza kupata wapi matangazo ya mpira wa miguu ya mechi mbalimbali zilizopita yaliyo katika maandishi.

Nahitaji mechi zifuatazo:
Mechi ziwe nne:

1. Azam FC 0-0 (5-6) Yanga SC _ Highlights _ CRDB Bank Federation Cup - 02-06-2

2. Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC _ Highlights _ NBC Premier League 13-05-2024

3. Azam FC 0-3 Simba SC _ Highlights _ NBC Premier League 09-05-2024

4. Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar _ Highlights _ NBC Premier League 30-10-2022
 
Kwanini mkuu mbona habari zingine zinakuwepo boss.
labda sikuelewa swali lako ni kwamba unataka matangazo ya mechi nzima yawe kwenye maandishi ama?

Yani " Anachukua mpira pale Azizi Ki anatoa pasi kwa Mzize, Mzize anatoa pasi kwa Baleke anafunga goli, Yanga 7 Simba 0? " Vyote hivyo viwe kwenye maandishi?
 
Yes Exactly
 
Habari wakuu wangu,
Naweza kupata wapi matangazo ya mpira wa miguu ya mechi mbalimbali zilizopita yaliyo katika maandishi.

Nahitaji mechi zifuatazo:
Mechi ziwe nne:

1. Azam FC 0-0 (5-6) Yanga SC _ Highlights _ CRDB Bank Federation Cup - 02-06-2

2. Mtibwa Sugar 1-3 Yanga SC _ Highlights _ NBC Premier League 13-05-2024

3. Azam FC 0-3 Simba SC _ Highlights _ NBC Premier League 09-05-2024

4. Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar _ Highlights _ NBC Premier League 30-10-2022
Fursa gani hii umeiona....... una vituko!
 
labda sikuelewa swali lako ni kwamba unataka matangazo ya mechi nzima yawe kwenye maandishi ama?

Yani " Anachukua mpira pale Azizi Ki anatoa pasi kwa Mzize, Mzize anatoa pasi kwa Baleke anafunga goli, Yanga 7 Simba 0? " Vyote hivyo viwe kwenye maandishi?
Mkuu kwenye huo mfano wako hiyo sehemu ya matokeo imenisikitisha sana.
 
Back
Top Bottom