dah hapo sidhan kam itawezekana mana ni lazima uambatanishe na copy ya cheti cha f4.kwan taarifa za kupotea kwa cheti ulitoa na umefatilia kuwa ilitakiwa ufabye nin baada ya kukipoteza?

jiandae mapema mwakan kipenga kinaria uku kujiunga chet d-5 diploma e-2 degree c-2 na kama ulimaliza miaka 5 nyuma usi apply tena nenda vyuo vya uganda na kenya