Nawatakia waandamaji wote maandamano mema

Lanlady

JF-Expert Member
Feb 27, 2019
1,801
6,149
Mambo ya kuzingatia:

Msiharibu mali za wananchi.

Msibebe silaha.

Msikate matawi ya miti (mtaharibu mazingira)

Msipige kelele zisizo na maana.

Bebeni maji ya kunywa, mabango yenye ujumbe kama vile 'kataa utekaji na mauaji ya kikatili, ajira kwa wasomi ni haki yao, nchi hii ni yetu sote, Samia must go, usipolia kwenye msiba wa jirani ukipata wa kwako utalia pekeyako.'

Mwisho kabisa, nawatakia maandamano yenye amani.

Na msipoandamana basi itabidi mhame kwenye hii nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom