Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Stupid coward,someone break a foot in his/her butt please!!!Walipokuja na "UZIO" nikasema sasa wametia akili, kumbe ilikuwa ni kumtishia paka kwa mdoli.
Nilipomwona Lissu ana kesi hadi idadi sikumbuki nikadhani watachukua hatua.
Ghafla nikakumbuka karibu kila mbunge wa CHADEMA ana kesi mahakamani za jinai na madai kwa mashauri tofauti.
Mwisho kwa zamu naona mmoja mmoja anaenda kwenye jengo lenye kuta nene na milango ya chuma.
US walianza na Afghanstan wakaenda Iraq wakashuka Libya wakapanda Siria tena, unajua nani atafuata? kila mmoja najua anajua anayefuata ila RUSSIA ndo anachelewesha mpango wa watu.
Cheleweni kwa woga au dharau kumfunga paka kengele, mtakwisha panya wote.
Huu ukanda wa maziwa makuu hautaki siasa za aina yenu CHADEMA, siasa kama zenu zinapaswa zifanyike Zambia, Kenya, Malawi, Ghana, Gambia na kungine.
Kamati kuu ikutane kwa dharura kutazama nini hatma yenu kama chama kikuu cha ushindani.
Ni vyema tukawa na siasa za usitaarabu, uvumilivu, utengamano wa kisiasa, kukubali kushindwa na uelewa kwa pande zote mbili.
Sasa JITU limetoka huko linataka lifanye siasa za hovyo na ubabe peke yake? NO.
technically There must be few to lead lawful changes, many makes easy but few makes difficultTanzania ilipofikia mkisubiri chadema ndio waje kuwatetea mmekwisha ......
Hii nchi ilipofikia ni kila mtu kujitetea kwa nafasi yake........
Kama ni kuingia barabarani ingia.......
Kama ni mwanasheria nenda mahakamani tetea bure kesi za kiuni eti mtunza bustani kumkashifu rais.......
Chadema hakiwezi kutetea kila mtu .......
Walipokuja na "UZIO" nikasema sasa wametia akili, kumbe ilikuwa ni kumtishia paka kwa mdoli.

ah! umenena ukweli, leo tuko pamoja, vitisho vya nini? fanyaTumechoka na mikwara, kila siku maneno yale yale tu, mara mnasubiri tamko, mara ukuta mara mmeende Ulaya kushitaki, hebu timizeni bais hata moja ili tujue kuwa ninyi siyo wanaume suruari!
Kama biti ndo mshapigwa, so what?
Tumechoka na mikwara, kila siku maneno yale yale tu, mara mnasubiri tamko, mara ukuta mara mmeende Ulaya kushitaki, hebu timizeni basi hata moja tu, ili tujue kuwa ninyi siyo Wanaume suruari!
Kama biti ndo mshapigwa, so what?
Kuna siku utakuja jutia kauli zako.Watanzania wote tunahaki sawa.
Ndiyo Watanzania wote, lkn siyo chadema!
Appreciated [HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] JusticeWalipokuja na "UZIO" nikasema sasa wametia akili, kumbe ilikuwa ni kumtishia paka kwa mdoli.
Nilipomwona Lissu ana kesi hadi idadi sikumbuki nikadhani watachukua hatua.
Ghafla nikakumbuka karibu kila mbunge wa CHADEMA ana kesi mahakamani za jinai na madai kwa mashauri tofauti.
Mwisho kwa zamu naona mmoja mmoja anaenda kwenye jengo lenye kuta nene na milango ya chuma.
US walianza na Afghanstan wakaenda Iraq wakashuka Libya wakapanda Siria tena, unajua nani atafuata? kila mmoja najua anajua anayefuata ila RUSSIA ndo anachelewesha mpango wa watu.
Cheleweni kwa woga au dharau kumfunga paka kengele, mtakwisha panya wote.
Huu ukanda wa maziwa makuu hautaki siasa za aina yenu CHADEMA, siasa kama zenu zinapaswa zifanyike Zambia, Kenya, Malawi, Ghana, Gambia na kungine.
Kamati kuu ikutane kwa dharura kutazama nini hatma yenu kama chama kikuu cha ushindani.
Ni vyema tukawa na siasa za usitaarabu, uvumilivu, utengamano wa kisiasa, kukubali kushindwa na uelewa kwa pande zote mbili.
Sasa JITU limetoka huko linataka lifanye siasa za hovyo na ubabe peke yake? NO.
Hongera kwa maana Wanachama wa Chadema siyo watanzania ni wanatokea wapi??Ubaguzi mnaoufanya utakuja kuwarudi siku moja.Hongereni sana.Lakini ya kesho huyajui
Kuna Kesi ngapi ziko mahakamani mwanajukwaa mwenzangu Tetty? mtikila alishinda kesi ya kikatiba juu ya mgombea huru ktk mahakama ya rufaa na hatimaye mahakama ya haki za binadamu kule Arusha, je serikali imetekeleza?Ngonyani watanzania wangapi tunaona hali si njema??Kwa nini tuwasubiri watu wawili au watatu?Bado tunanafasi ya kupinga haya mahakamani.
Acha kudhalilisha taaluma za watu.Eti wakili atetee bure wahalifuTanzania ilipofikia mkisubiri chadema ndio waje kuwatetea mmekwisha ......
Hii nchi ilipofikia ni kila mtu kujitetea kwa nafasi yake........
Kama ni kuingia barabarani ingia.......
Kama ni mwanasheria nenda mahakamani tetea bure kesi za kiuni eti mtunza bustani kumkashifu rais.......
Chadema hakiwezi kutetea kila mtu .......
Kuna Kesi ngapi ziko mahakamani mwanajukwaa mwenzangu Tetty? mtikila alishinda kesi ya kikatiba juu ya mgombea huru ktk mahakama ya rufaa na hatimaye mahakama ya haki za binadamu kule Arusha, je serikali imetekeleza?
kama mahakama inaamuriwa kuna haja tena ya kuwa muhimiri huru?
je maamuzi ya hakimu kujadiliwa ndani ya bunge na wanasiasa(rejea kesi ya ndugu Habakuki Vs Jamuhuri) ya mwaka 2016.
Mahakama Inapoteza uhuru na uhuru wake kwa sasa.