Nawapongeza wote wenye nyota ya Punda ,tangu mvua zimeanza nimepoteza miamvuli zaidi ya 10

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Wakuu tangu mvua zimeanza leo nimesahau tena mwamvuli, i mean nimepoteza, imezidi miamvuli kumi sasa
Nawapongeza wanaokumbukaga kubeba hata kama mvua imekatika,
Ulienda mahali mvua ikinyesha umetoka nje jua linawaka, lakini husahau mwamvuli wako mkono.
Hawa mi ndo nawaitaga wana nyota za punda
Hongereni sana
 
Wenzio tunabeba majembe kwenda mashambani wewe unabeba mwavuli utalima ukiwa umejifunika mwavuli miavuli ni yenu wa mijini!!!!!!sasa huku tunafurahia hatuingii gharama jani la mgomba kwetu ni mwavuli je karatasi au mafaili ambayo hajatumika si mnayatumia kujinga na mvua nywele bandia hazipatwi na mvua haaaa mvua ije tulime tushibe msimu wa matunda njooni tutawapa kwa bei mnayopanga wakati josho letu hamlijuii
 
kijijini umeenda lini tena mkuu? Ofisi imekuwaje, haupo ofisi toka lini?
 
Hata inyeshe mvua ya kujaza dunia nimeapa kutonunua hiyo kitu tena...maana naona ni kutiana hasara tu...
 
wangu huwa nauweka sehemu ya mbrle hasahasa karibu na mlango ili nikitoka tu niuone
 
hahaaa, wengine kila tukinunua tunaiharibu wakati wa kuingia mlangoni.

Tunasahahu kwamba tuko na miamvuli, tunatakiwa kuikunja.
 
Reactions: Paw
Kumbe cpo mwnyw..mm pia hua nasahau..nitaukumbuka mvua ikinyesha tena
 
Uwa sitembei na mwavuli ksb kusahau ni given hata nifanyaje nitasahau tu.
 
Hupendi kunua wakwako sababu ya ubahili, unaazima wa jirani yako kwaupole huku unajichekesha, halafu unausahau kwenye daladala.
 
Ilikuwaje mkuu?
Majanga matupu, unajinunulia mwamvuli saaaafi kabisa. Tena kwa mbwembe unaingia/kwenda kule ulikokusudia kwenda. Unakaa nakumaliza shughuli zako. Una~aga nakuondoka, unapanda gari huyooo, home mvua hii hapa...mwavuli upo kilomita sita....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…