Nawapenda sana wanawake wa uswahilini kwa ubunifu wao.Hivi ni baadhi ya vicheko walivyocheka kwenye miaka tofauti.
2002 to 2004-walikuwa wanacheka "hehehe haloooo"
2005 to 2007-wakaja na "heheheee utajijuuu"
2008 to 2010-wakaleta hii ya "heheheee unalooo"
2010 to 2012-wakaleta "hehehe utajibebaaa"
2012 to 2014-wakaja na "heheheee kaoge"
2014 to 2015-safari hii hapa wakacheka "hehehe chezea mie wewe"
2016 -Hpa ss ndo wamekuja na "...heheheee KANTANGAZEEE.."
2017-Wamekuja na hii hapa hehehee wareree,wapi nyonyo
Je unahisi 2018 watabuni style gani ya kucheka?!