GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,840
- 121,802
Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi.
Pili alichokifanya Haji Manara ni kutafuta tu Uungwaji mkono wake wa Taasisi yake aliyoizindua kutoka kwa wana Yanga SC na hasa hasa wale Matajiri wa Yanga SC.
Tatu Haji Manara anataka kwa Makusudi na katumia Akili Kubwa Ugomvi wake binafsi na Rais wa TFF Karia uwahusishe na wana Yanga SC ili kuongeza Uzito na asaidiwe katika Kumshinda.
Kwa kifupi Haji Manara hana Akili period.