S Salary Slip JF-Expert Member Apr 3, 2012 48,671 149,843 Jan 17, 2016 #1 Mwenyezi mungu waache hawa watu waishi maisha marefu ili tu siku moja nao waje wapande kizimbani na mnvi zao kujibu mashataka kwa makosa wanayoyatenda leo hii. Fanyeni yote ila nawaombea uzima tu.
Mwenyezi mungu waache hawa watu waishi maisha marefu ili tu siku moja nao waje wapande kizimbani na mnvi zao kujibu mashataka kwa makosa wanayoyatenda leo hii. Fanyeni yote ila nawaombea uzima tu.
Chakaza JF-Expert Member Mar 10, 2007 40,314 72,740 Jan 18, 2016 #2 Nani hao mkuu? Mbona kuna watu hawahitaji kufika huko bali waishi hadi 2021 tuu na moto watauona!