Nawaomba walio karibu na rais wamshauri amrudishe Meck Sadick Dar

yusuphmarcogaga

Senior Member
Jan 5, 2014
145
162
Nawaomba walio karibu na JPM wamshauri amrudishe Said Meck Sadick kuwa mkuu wa mkoa Dar, binafsi niliridhishwa na utendaji wa bwana Sadick ilikuwa ni unafiki tu wa Makonda akiwa mkuu wa wilaya kufanya maamuzi ya mkoa ndo kilichokuwa kikififisha utendaji wake.

Lakini bado nakiri kwa jiji kubwa kama hili tunapaswa kuongozwa na mtu mwenye busara kama Sadick na sio Bashite kama ilivonukuliwa mara kadhaa na lushindwa kitolea ufafanuzi.
 
Ukuu wa mkoa wa Dar napendekeza apewe profesa Issa Shivji, atasaidia kuinua elimu mkoani Dar.

Mamlaka ya elimu, afya, ardhi, etc yapo mikononi mwa wakuruenzi wa jiji na manispaa zake. Kama shida ya Dar kwa sasa ni elimu watafutwe watu wanaojua mambo ya elimu na politics zake wafanywe wakurugenzi wa manispaa za dar es salaam
 
Nakubaliana na wewe asilimia mia kwa mia. Mzee Sadick ni mtu wa busara sana.
 
Is sadic kambi "low as A" or "bashite"?
Tuanzie hapo!!!
Hopely mmeelewa!!!!
 
Mkoa wa Kilimanjaro wana uzoefu wa kukaa vizuri na wakuu wa Mikoa. Kama sijakosea Mh. Gama alikaa sana licha ya mkoa kuongozwa na upinzani. Sijui hawa Mangis wanawapaga nini? Yawezekana hata Mzee Meck akastaafia huko,akapewa kihamba!
 
Angekuwa kwa bahati mabaya akawa "Mungu aliitisha faili" lake leo ungesemaje?
 
Acha uchawi.makonda anatosha.mchapa kazi vyeti pelekeni kwenye interview hapa utendaji kazi bora unatakiwa.
 
Mkoa wa Kilimanjaro wana uzoefu wa kukaa vizuri na wakuu wa Mikoa. Kama sijakosea Mh. Gama alikaa sana licha ya mkoa kuongozwa na upinzani. Sijui hawa Mangis wanawapaga nini? Yawezekana hata Mzee Meck akastaafia huko,akapewa kihamba!
Kweli mkuu
 
Si unajua kule wasomi wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…