The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,189
- 10,482
Salaam Wanaume Wenzangu mnaosoma huu Uzi.
TAFADHALI: Hii ni kwa ajili ya Men, wanawake wa jamii forum msipite hapa tuna kikao.
Kile Kikao cha Wanaume leo tena kipo hapa.
⚠️⚠️⚠️CAUTION: USIMPENDE MWANAMKE NA KUMZIMIKIA ETI KISA KAJA KWAKO AU KAKUFUATA ANAKULILIA SHIDA ZAKE, AU KAVURUGWA ZAKE NA VIKOBA, UKIFANYA IVO UTALIA NA KUSAGA MENO.
Sababu za kutofanya hivo hizi hapa:
1. Mwanamke unayempenda au unayedhani kakuelewa na kukubalia ombi lako anakuwa kakubali tu sababu ya shida zake.
Mfano atakuambia shida zake nyingi kama ooh mtoto anaumwa (single mothers),
oooh kila kitu ni mimi juu ya huyu mtoto, wala hatokaa akupe sababu za yeye kuachana na huyo mwanaume.
2. Shida zake zikiisha tu akapata mwanga (akimkubalia mwanaume mwingine) atakutukana na kusema huna lolote.
Wapo wimbi la men wanao dondokea kwenye huu mtego wa kusaidia she wenye shida zao na kwa wakati huo wewe mwanaume unajiona umeokota dodo na umemaliza.
Mwisho mwanaume ukitaka kumpenda mwanamke basi umkute ana akili zake timamu na hajavurugwa na maisha.....iwe mnapendana kwa makubaliano yasiyo na sababu, Wazungu wanaita LOVE WITH NO REASON.
shida zake msaidie kama mtu mwingine si kimapenzi.
Cc DR HAYA LAND aliwahi toa hili kama comment leo naleta kama uzi.
Asanteni mamen...