Mkuu bado una mshahara? Kwa makato haya!
10%(Pension) + (98100+30%(my Gross Salary-720000))PAYE + 15%(HESLB)+ 520000(Bank mkopo)
Hapo unabaki na nini? Sijaweka kodi ya nyumba, kama uko tuico, michango ya harusi japo si lazima, ada kama una watoto wako kule st nini, afu uwe mzee wa tungi, kudadeki lazima ukae