B Brown Miguel junior New Member Dec 13, 2015 2 0 Dec 26, 2015 #1 Nauza vifaranga vya kienyeji venue chanjo zote kila kifaranga sh 25000 nipo kibaha kwa mfipa
C CARBON 14 Member Dec 18, 2015 30 3 Dec 26, 2015 #3 Brown Miguel junior said: Nauza vifaranga vya kienyeji venue chanjo zote kila kifaranga sh 25000 nipo kibaha kwa mfipa Click to expand... Mkuu kama kifaranga kinauzwa 25,000/=(elfu ishirini na tano) je kuku mwenyewe atauzwa laki ngapi???
Brown Miguel junior said: Nauza vifaranga vya kienyeji venue chanjo zote kila kifaranga sh 25000 nipo kibaha kwa mfipa Click to expand... Mkuu kama kifaranga kinauzwa 25,000/=(elfu ishirini na tano) je kuku mwenyewe atauzwa laki ngapi???
bluetooth JF-Expert Member Jan 12, 2011 4,402 2,550 Dec 26, 2015 #4 Brown Miguel junior said: Nauza vifaranga vya kienyeji venue chanjo zote kila kifaranga sh 25000 nipo kibaha kwa mfipa Click to expand... Kwa maneno ni Elfu ishirini na tano
Brown Miguel junior said: Nauza vifaranga vya kienyeji venue chanjo zote kila kifaranga sh 25000 nipo kibaha kwa mfipa Click to expand... Kwa maneno ni Elfu ishirini na tano
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Aug 8, 2015 21,532 34,912 Dec 26, 2015 #6 Brown Miguel junior said: Nauza vifaranga vya kienyeji venue chanjo zote kila kifaranga sh 25000 nipo kibaha kwa mfipa Click to expand... Ivi mkuu unafanya utani na watu? hao vifaranga wako wanatumia memorycard au umeme au bluetooth?
Brown Miguel junior said: Nauza vifaranga vya kienyeji venue chanjo zote kila kifaranga sh 25000 nipo kibaha kwa mfipa Click to expand... Ivi mkuu unafanya utani na watu? hao vifaranga wako wanatumia memorycard au umeme au bluetooth?
B BOWTHRUSTER JF-Expert Member Aug 1, 2014 384 145 Dec 30, 2015 #7 Upepo wa Pesa said: Ivi mkuu unafanya utani na watu? hao vifaranga wako wanatumia memorycard au umeme au bluetooth? Click to expand... Kakosea kuandika labda sh 250.
Upepo wa Pesa said: Ivi mkuu unafanya utani na watu? hao vifaranga wako wanatumia memorycard au umeme au bluetooth? Click to expand... Kakosea kuandika labda sh 250.
real G JF-Expert Member Feb 7, 2013 5,227 5,292 Jan 7, 2016 #10 Brown Miguel junior said: Nauza vifaranga vya kienyeji venue chanjo zote kila kifaranga sh 25000 nipo kibaha kwa mfipa Click to expand... mkubwa nafikiri umezidisha sifuri moja kwenye bei
Brown Miguel junior said: Nauza vifaranga vya kienyeji venue chanjo zote kila kifaranga sh 25000 nipo kibaha kwa mfipa Click to expand... mkubwa nafikiri umezidisha sifuri moja kwenye bei
kethika JF-Expert Member Oct 16, 2015 630 472 Jan 7, 2016 #11 Ivo vifaranga huwa cinataga mbuzi ndo mana bei yake kubwa.