Habarini za jioni!
Kama kichwa kinavyojieleza. Miezi sita ilopita nilitamani kufungua kijiwe cha games za Ps na kwa bahati nilifanikiwa kununua baadhi ya vitu lakini baada ya kupata kibarua mbali na eneo nililotaka kufungua hiyo ofisi nimeona bora niviuze kuliko kumwachia mtu anitunzie.
1. Hisense TV 43" LED na bado zipo kwenye box. (TV zipo mbili mpya)
2. PS4 slim used (storage 1tb) +HDMI cables + Powercables
3. PS4 Steering wheel (Bado mpya)
Bei kwa kila kimoja nimestandardise 450,000/=
NB: Hizi Ps4 hazina games, zote zililock baada ya kuconnect kwenye Internet
Mawasiliano; 0757 218 286