Nauza tank la mafuta bei poa

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
311
71
Habari wadau....nauza tank la mafuta likiwa katika hali nzuri kabisa.Halijawahi kutumika.Ni yale ambayo yanafukwa chini ama niseme yanayochimbiwa chini.Lina ujazo wa lita 13,500/= na urefu wa ft 12.2 .Bei ni Mil 4.5
Angalia picha ukipenda njoo tufanye biashara 0763969066
 

Attachments

  • 20190611_131945.jpg
    469.4 KB · Views: 19
  • 20190611_131928.jpg
    451.6 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…