Jackson996 JF-Expert Member Oct 5, 2019 745 1,326 Oct 23, 2019 #1 Nauza sabuni za magadi kutoka Kigoma original kabisa katoni bei ni Tsh Elfu thelathini (30,000) na inakuwa miche ishirini (20) kwenye katoni. Call : 0788 929 673 Whatsapp: 0742 066 161 Karibuni sana
Nauza sabuni za magadi kutoka Kigoma original kabisa katoni bei ni Tsh Elfu thelathini (30,000) na inakuwa miche ishirini (20) kwenye katoni. Call : 0788 929 673 Whatsapp: 0742 066 161 Karibuni sana
LOVE U JF JF-Expert Member Dec 9, 2015 2,136 1,636 Oct 23, 2019 #2 Njoo tuungane tufungue kiwanda kidogo cha kuzitengeneza nina ufahamu wa kaz hyo
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 70,528 97,808 Oct 23, 2019 #3 Fursa. Mnadanganywa kufundishwa afu mnahangaika na soko. Hamjiulizi kwanini hao wanaowafundisha wao hawauzi hizo bidhaa? Hivi kweli mtu akufundishe uwe tajiri wakati yeye sio tajiri
Fursa. Mnadanganywa kufundishwa afu mnahangaika na soko. Hamjiulizi kwanini hao wanaowafundisha wao hawauzi hizo bidhaa? Hivi kweli mtu akufundishe uwe tajiri wakati yeye sio tajiri
Lihakanga JF-Expert Member Dec 17, 2016 4,823 6,401 Oct 23, 2019 #4 Jackson996 said: Nauza sabuni za magadi kutoka Kigoma original kabisa katoni bei ni Tsh Elfu thelathini (30,000) na inakuwa miche ishirini (20) kwenye katoni. Call : 0788 929 673 Whatsapp: 0742 066 161 Karibuni sana View attachment 1241560 Click to expand... Mche una urefu gan?
Jackson996 said: Nauza sabuni za magadi kutoka Kigoma original kabisa katoni bei ni Tsh Elfu thelathini (30,000) na inakuwa miche ishirini (20) kwenye katoni. Call : 0788 929 673 Whatsapp: 0742 066 161 Karibuni sana View attachment 1241560 Click to expand... Mche una urefu gan?
Jackson996 JF-Expert Member Oct 5, 2019 745 1,326 Oct 23, 2019 Thread starter #5 LOVE U JF said: Njoo tuungane tufungue kiwanda kidogo cha kuzitengeneza nina ufahamu wa kaz hyo Click to expand... Ni pm namba mkuu
LOVE U JF said: Njoo tuungane tufungue kiwanda kidogo cha kuzitengeneza nina ufahamu wa kaz hyo Click to expand... Ni pm namba mkuu
Jane Msowoya JF-Expert Member Aug 20, 2017 4,267 7,710 Oct 24, 2019 #6 LOVE U JF said: Njoo tuungane tufungue kiwanda kidogo cha kuzitengeneza nina ufahamu wa kaz hyo Click to expand... Naomba ujuzi
LOVE U JF said: Njoo tuungane tufungue kiwanda kidogo cha kuzitengeneza nina ufahamu wa kaz hyo Click to expand... Naomba ujuzi