Nauza sabuni za magadi (gwanji) kwa bei poa

Jackson996

JF-Expert Member
Oct 5, 2019
745
1,326
Nauza sabuni za magadi kutoka Kigoma original kabisa katoni bei ni Tsh Elfu thelathini (30,000) na inakuwa miche ishirini (20) kwenye katoni.

Call : 0788 929 673
Whatsapp: 0742 066 161

Karibuni sana

IMG-20191012-WA0028.jpeg
 
Njoo tuungane tufungue kiwanda kidogo cha kuzitengeneza nina ufahamu wa kaz hyo
 
Fursa.
Mnadanganywa kufundishwa afu mnahangaika na soko.
Hamjiulizi kwanini hao wanaowafundisha wao hawauzi hizo bidhaa?
Hivi kweli mtu akufundishe uwe tajiri wakati yeye sio tajiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom