makala7 JF-Expert Member Sep 29, 2016 497 407 Mar 25, 2017 #1 Kama mlivyopitia kichwa cha habari,hapo juu.Nauza PlayStation3 ambayo bado ni mpya kabsa nimeitumia mwezi mmoja tu.Ina 500GB HD na PADI 1 Haijafanyiwa cheaping kwaiyo ina uwezo wa kutumia CD tu. Bei 480000.
Kama mlivyopitia kichwa cha habari,hapo juu.Nauza PlayStation3 ambayo bado ni mpya kabsa nimeitumia mwezi mmoja tu.Ina 500GB HD na PADI 1 Haijafanyiwa cheaping kwaiyo ina uwezo wa kutumia CD tu. Bei 480000.