clemence mtei Senior Member Feb 11, 2014 100 21 Apr 11, 2016 #1 Nauza simu aina ya techno phantom z min IPO vzuri nmeitumia miez sita bei nzuri tuu kulingana na bei yake dukan Asante karibu
Nauza simu aina ya techno phantom z min IPO vzuri nmeitumia miez sita bei nzuri tuu kulingana na bei yake dukan Asante karibu
Mamaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 5,044 4,347 Apr 11, 2016 #2 We mteyi WA wapi aisee babaangu! Hujaweka bei wala namba ya simu . Au ubafikiri nibunaza ndizi kitaraasa aisee!
We mteyi WA wapi aisee babaangu! Hujaweka bei wala namba ya simu . Au ubafikiri nibunaza ndizi kitaraasa aisee!
clemence mtei Senior Member Feb 11, 2014 100 21 Apr 12, 2016 Thread starter #3 Mamaya said: We mteyi WA wapi aisee babaangu! Hujaweka bei wala namba ya simu . Au ubafikiri nibunaza ndizi kitaraasa aisee! Click to expand... mmmmh tufanye biashara acha longolongo eti mie mtei Wa WAP, Mara ndz kitarasa mwehu nini... ambae yupo interested anipm nimpe no
Mamaya said: We mteyi WA wapi aisee babaangu! Hujaweka bei wala namba ya simu . Au ubafikiri nibunaza ndizi kitaraasa aisee! Click to expand... mmmmh tufanye biashara acha longolongo eti mie mtei Wa WAP, Mara ndz kitarasa mwehu nini... ambae yupo interested anipm nimpe no