Wewe uliyetoa hii post ni mwehu sana, natamani upewe BAN kubwa kuliko hata kichwa chako. Jana umetoa post mbili; hii yenye heading "NAUZA MBWA WA BORA WA ULINZI, post nyingine uliandika "MBWA NI MLINZI WA KWELI"
Posts zote mbili umeandika kuwa unauza mbwa na umeweka namba zako hapo. Wengi (mimi nikiwemo) wamekuuliza kuwa una mbwa wa aina gani (breed) na bei zako zikoje??? Lakini hujaweza kujibu hata moja, umekuja hapa kuchezea watu akili???
Admin: Ondoa posts zake huyu jamaa, amekuja kucheza na akili za watu tu.