Swali la kipuuziKwa nini unaiuza?
😳 Kutoka 400k?Ipo 250k mkuu
maRI ndio nini, hivi huko shule mlienda kusomea ujinga? FaizaFoxySwali la kipuuzi
Anauza SI Mari yake
We uliza kama ana vithibitisho kuwa ni Mari yake halali au lbda uulize inatatizo gani
Haya kama kakujibu anauza 7bu demu wake ankuja weekend toka MWANZA na yeye ana ela anataka aspendi nae utakuwa umeridhika
Ndio mkuu! Nipige jeki km vp basi nisimlalie sana jamaa🤣😳 Kutoka 400k?
Mie mwenyewe ni jekiNdio mkuu! Nipige jeki km vp basi nisimlalie sana jamaa🤣
Jeki ndio kazi yake kusapoti kwenye uhitaji.Mie mwenyewe ni jeki
😓Jeki ndio kazi yake kusapoti kwenye uhitaji.
Anauzwa kwa sababu anauzaKwa nini unaiuza?