Binadamu wa Kwanza
Member
- Mar 5, 2016
- 12
- 0
Naomba mnijuze namna ya kuanzisha uzi humu JFKiwanja Kipo Goba Kwa Wasambaa, Karibu na Mivumoni.
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM 1000, Bei Milioni 19.
Ukitaka nusu yaani SQM 500, Bei Milioni 10.
Kiwanja HakijaPimwa.
Mimi nimejenga Pembeni, naishi hapohapo.
Sawa nakutumia.Ni inbox no yako
hahahahaha unatumia simu ama pc mkuuNaomba mnijuze namna ya kuanzisha uzi humu JF
Naomba kueleweshwa hiyo goba ya wasambaa ilipo kwa ufasaha zaidi, mivumoni siijui pia. Napafahamu goba njia nne, njia panda ya Atlas(madale) na goba chuo cha walimu, unaweza anzia popote kuelekeza. Au kwa urahisi zaidi dondosha coordinates za googlemap lilipo eneo lako njia nitatafuta mwenyeweUmeme Upo, Barabara ya gari nzuri ipo.
Dah,Kiwanja Kipo Goba Kwa Wasambaa, Karibu na Mivumoni.
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM 1000, Bei Milioni 19.
Ukitaka nusu yaani SQM 500, Bei Milioni 10.
Kiwanja HakijaPimwa.
Mimi nimejenga Pembeni, naishi hapohapo.
Mbona haueleweki juu umeandika sqm 500 bei 8.5mil sasa umetuma tena bei 10mil ni viwanja viwili tofauti au bei imepanda ghafla embu tujuze kwanza.Dah,
Tshs 19,000,000/1,000Sqm
= Tshs 19,000/Sqm1
Mkuu kiko barabarani au unaingia ndani sana?
Unapitia Tegeta Wazo Hill au Goba Masana Hospital?
Kutoka Goba Centre pale mjini
Dogo vipi umelaliwa nini hebu angalia orijino post ya mtoa mada nliyo ikoti huko juu yeye ndo aliandika viwango hivyo nami nikawa najaribu kupiga mahesabu tu kwa kutumia viwango vyake, sasa utasemaje nimeandika mimiMbona haueleweki juu umeandika sqm 500 bei 8.5mil sasa umetuma tena bei 10mil ni viwanja viwili tofauti au bei imepanda ghafla embu tujuze kwanza.