Nauza Kiwanja Bunju Bei Chee

nsibirwa

New Member
Jan 14, 2018
3
0
Wandugu
Nauza Kiwanja changu kwa bei nafuu sana. Kiwanja kipo Bunju A Mtaa wa Senzele yaani ukishuka kituo cha Bunju A Shule unatumia dakika 8 kwa bodaboda kufika eneo kiwanja kilipo. Kina ukubwa wa Hatua 35 kwa 25. Maji na umeme vipo karibu.Bei ni Tsh Ml.5,200,000/- tu
Kwa mhitaji anitafute kwa namba 0786 294545
Karibuni

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
picha sina samahani,naamini mhitaji serious ni vizuri kwenda physically kuona kwa macho,kujiridhisha kwa majirani na serikali ya mtaa

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom