PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Nishawahi kukutapeli mkuu??acha wizi
Inategemea unahitaj followers wangapi... Kwa mfano followers 1000 ni tsh. 10,000Bei gani mkuu?
Ha ha haaaah aise dah, hii nikienda likizo kijijini lazima nikawasimulie hii sio ya kuacha bila ya kusimulia yanayotokea mjini.Hivi hii nchi imefika huku ipo siku utakuja kujiuza na ww
Kujulikanawanasaidia nini hivi
Kabla sijajiuza mimi ntaanza kukuuza wewe na ukoo wakoHivi hii nchi imefika huku ipo siku utakuja kujiuza na ww