Nauza Eicher bus yenye namba CVZ kwa bei nafuu

Mkuu ni vema ukataja bei ya kuuzia ili mteja ajipange. Nakufuata PM nakuambia nina 2m huoni huo ni usumbufu.
Haitakuwa usumbufu mkuu, karibu pm tuongee. Bei tutaelewana, usiwe na wasiwasi.
 
Kama ni muuzaji kweli weka bei hadharani, watanzania ni watu wa ajabu sana, ukiingia web kama Be foward, Car junction nk, utaona magari na bei zake, wewe bei mpaka ufutwe chumbani kweli tuna safari ndefu

Huko ulikopataja huwezi kukuta watoto wadogo wa shule wanaingia huko.

Humu wamejaa tele.
 
Kama ni muuzaji kweli weka bei hadharani, watanzania ni watu wa ajabu sana, ukiingia web kama Be foward, Car junction nk, utaona magari na bei zake, wewe bei mpaka ufutwe chumbani kweli tuna safari ndefu
Kuna kila dalili za mtu kulizwa hapa,just subili tu
 
Mimi natoa siri ya PM nimemfuata huko PM kasema million 10 bado kuna maongezi
 
Nliwahi kukufuata pm hukujibu naona umeweka tena tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…