Kwani kuweka bei hapa ni jambo la aibu?
Wanabodi,
Ninauza basi langu la Eicher lenye namba CVZ.
Kwa sababu ya majukumu mengine ninakosa muda wa kusimamia hivyo sipati mapato ninayokusudia.
Lipo kwenye hali nzuri na bei ni maelewano.
Karibu pm kwa anayependa kupata taarifa zaidi na mnunuaji.
Picha imeambatanishwa
View attachment 528761
BeiWanabodi,

Hahaha, mkuu ni suala tu la kufuatilia service na utendaji wa dereva.Ukitaka kufa kwa presha miliki basi linaitwa Eicher... Hata hivyo hili naona limedumu sana... Hongera kwa utunzaji...