Don't assume I know mkuu,that asali is your product so you need to convince by selling features and benefits of your product to the prospect,ufanyaji biashara ingekuwa rahisi cocacola wasingeangaika.
BTW mimi najua matumizi ya asali kama chakula ila utofauti wa asali mbichi,asali ya nyuki wadogo na asali nyingine kama zipo sifahamu na hata nikiletewa nitofautishe nitashindwa.