Mr.panya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 248
- 274
Nauza mini laptop aina ya acer aspire one kwa sh 140,000/= yenye sifa zifuatazo
HDD: 160GB
RAM: 1GB
PROCESSOR: intel atom @1.6ghz
BATTERY CAPACITY : inakaa na chaji kwa masaa matatu kwa matumizi ya kawaida
OS: window 7
PRICE: 140,000/=
CONTACT: 0687736108 ( unaweza kunipigia au kunitumia text ya kawaida pia hata whatsapp natumia)
LOCATION: Dar es salaam
CONDITION: Laptop haina tatizo lolote lile isipokuwa tu kuna button moja (window logo button) kwenye keyboard yake imepotea lakini keyboard yenyewe haina tatizo lolote inafanya kazi vizuri mpaka hiyo sehemu ilipotoka hiyo button pia pana function vizur kwa hiyo unaweza ukaitafuta kwa mafundi laptop then ukakiweka,binafsi nilikua natumia hivyohivyo tu toka kilipopotea mana hainipi shida nilikua natumia window logo ya kwenye display yake kama alternative
Pia naiuza kwa sababu hali yangu ni ngumu kupita maelezo kwa sasa nadaiwa kodi ya chumba wakuu,nataka nimlipe mwenyewe kodi yake mana kanibana mno kwa sasa