Ni kweli kila maamuzi ya kitaifa lzm yawagawe wananchi katika makundi mawili yasiyowiana.
Madhara ya muda Muda mrefu ya simu mbovu na feki ni makubwa kuliko faida za kuwepo.
Madhara ya simu usiyojua kama mionzi iko regulated, vifaa vya ndanini original au feki, yawezekana hata kukulipukia(fake lithiam ion battery).Gharama kubwa ya kukusanya electronic waste(miradi ya mabillion) itaepukwa na madhara yake katika jamii na mazingira yataepukwa. Kukosea kuruhusu miaka uliopita hakuzuii kuzifungia kama umepata ukweli mpya.
Sioni sababu ya watu kuhofu. Hii itatoa fursa kubwa sana kwa makampuni kama Techno au Huawei kutuletea low cost original phones kwa gharama hata 15000 maana soko kubwa nitakuwepo kuanzia mwezi Wa sita.
Najaribu kuwaza