Naumia moyo ndugu zangu

Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.

Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.

Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,

Niasaidieni, kifua kimekaba hatari🙏🙏🙏
Wew kabila gan? Kabla sijaweka reference! Mm sisaidiani na ndugu wala mzee na naishi mpaka sahiv japo kwa shida lakin maisha yaende tu siku ya kufa Ije nikapunzike. Lakin mambo mengine huwez kuyamaliza mana umezaliwa umeyakuta
 
Baba yake
FB_IMG_1730566831285.jpg
 
Mkuu, nina biashara zangu nzuri tu, lakn naamini nikidondoka leo ntaacha ugomvi nyuma, sijui umenipata......
Achana na hizo habari mkuu, Ishi maisha yako, Ukifa umekufa, Na huji kukikwepa kifo..!!

Waachie maarifa hao waliopo "Mkeo ama Wanao" ya kujiongoza hata usipokuwepo, waandikie na barua za Mirathi mapema wasisumbuliwe ukifa...!!
Screenshot_20241012-110339.jpg
 
Achana na hizo habari mkuu, Ishi maisha yako, Ukifa umekufa, Na huji kukikwepa kifo..!!

Waachie maarifa hao waliopo "Mkeo ama Wanao" ya kujiongoza hata usipokuwepo, waandikie na barua za Mirathi mapema wasisumbuliwe ukifa...!!View attachment 3142591
Dunia ya kibepari haina ndugu wala rafiki watu ukiwapa nafasi wanakushangaza vizuri kabisa. Kama unajenga misingi kwa familia ijenge tu. Familia nyingine haziungani mana kuna baadhi ya ndugu tumbo moja hawana sifa ya kuhurumiana wao kwa wao
 
Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.

Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.

Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,

Niasaidieni, kifua kimekaba hatari🙏🙏🙏
Kwamba unatafuta mali zako alafu unamuachia mzee wako au mim sijaelewa
 
Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu.

Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha.

Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano,

Niasaidieni, kifua kimekaba hatari🙏🙏🙏
Mzee anaweza akawa hakua na upeo huo na pengine bado hana.

Duniani hapa tunaendelea kujifunza maisha yanafundisha bila kujali umri.

Mi nafikili kwakua wewe ni mwanafamilia na umepeuka unaweza ukabeba jukumu lakuhubili umoja na upendo katika familia yenu... Hasa katika matukio ya kifamilia na vikao vya familia.

Tatizo linakuja haujajipata kisawasawa kimaisha, sasa sijui kama watakusikiliza.
 
Back
Top Bottom