Nauliza inawezekana mtumishi wa Halmashauri akahamia TARURA au DART pasipo uhamisho wake kupitia UTUMISHI?

Moniel

JF-Expert Member
Nov 17, 2020
237
561
Habari wakuu
Nauliza hivi inawezekana mtumishi wa halmashauri akahamia TARURA au DART pasipo uhamisho wake kupitia UTUMISHI??

Yaani uhamisho ukafanyika kupitia TAMISEMI tu???
 
Haiwezekani. Hao ni employers wawili tofauti ingawa wako chini ya OR TAMISEMI.​
Ok, kwahyo karibu Mkuu tamisemi hana mamlaka ya kuandika barua ya uhamisho kwenda TARURA??
 
Ok, kwahyo karibu Mkuu tamisemi hana mamlaka ya kuandika barua ya uhamisho kwenda TARURA??
Screenshot (425).png
 
Back
Top Bottom