Eyeson Property
Senior Member
- Jan 23, 2018
- 193
- 42
Naombeni calculation ya Mtumishi anayekwenda Likizo TANGA to MWANZA Mwenye Mke na Mume tu bila Mtoto yaani wako wawili.
Kwa nini usifike ofisi za usafiri unaotarajia kuutumia wakupe mahesabu?Naombeni calculation ya Mtumishi anayekwenda Likizo TANGA to MWANZA Mwenye Mke na Mume tu bila Mtoto yaani wako wawili.
Bado mshahara upo unamsumbua.Ukianza kuisha ataandika kwa kutulia.Wewe ni mtumishi wa umma hata kuandika hujui.
Uwe unajipa muda wa kusoma mada na kuielewa kwanza kabla hujakurupuka kujibu,Kwa nini usifike ofisi za usafiri unaotarajia kuutumia wakupe mahesabu?
Maoni yako ila kwangu niko sahihiWewe ni mtumishi wa umma hata kuandika hujui.
Fuata steps hiziNaombeni calculation ya Mtumishi anayekwenda Likizo TANGA to MWANZA Mwenye Mke na Mume tu bila Mtoto yaani wako wawili.
Wewe kama hujui tulia mkuu,wajuzi humu wamo watakuja na majibu..Kwa nini usifike ofisi za usafiri unaotarajia kuutumia wakupe mahesabu?
Natumia but hakuna calculation rateskwani we hutumii mfumo wa "PEPSi"
Ubarikiwe sana SeniorFuata steps hizi
1.chukua fomu ya barua ya likizo jaza lakini pia unaweza uka download kwenye website husika jaza aina ya likizo kuna madaraja kuna ya uzazi kuna likizo ya kustaafu kuna likizo ya mwaka utachagua
2.Kama umeoa au kuolewa ambatanisha cheti cha ndoa lakini kama una mtoto pia ambatanisha cheti cha kuzaliwa lakini kama una watu unakaa nao wasiozidi wawili ambatanisha pia taarifa zao kama cheti cha kuzaliwa.
3.Andika dokezo la kuomba hela kama ni likizo ya pili yaani ya kulipwa ukiweka gharama za nauli za kwenda na kurudi mfano:
Mme (80,000/=) kwenda na kurudi
Mke (80,000/) kwenda na kurudi
Mtoto (andika jumla kama juu hapo)
Mzigo–nadhani wanalipa kilometres moja ya mzigo shilingi 500 kwa kilometres zisizopungua 600 piga kwenda na kurudi
Yaani 1200×500=600,000.
Lakini unaweza kuomba sample kwa wenzako waliokutangulia.
NB:Kama ukifika Tanga mjini unasafari tena andika gharama yake kwenda na kurudi mfano Kange to pangani (30,000) go and return zidisha na idadi ya watu kama ni tax mnatumia ainisha.
Alamsik.
Ongea na HR wakoNaombeni calculation ya Mtumishi anayekwenda Likizo TANGA to MWANZA Mwenye Mke na Mume tu bila Mtoto yaani wako wawili.
Huyo Hana nia hiyo unayotaka kuijibuFuata steps hizi