Natumia usafiri gani kuitoa pikipiki kutoka Mtwara kwenda Iringa kupitia Songea?

nipo online

JF-Expert Member
Sep 10, 2022
1,025
2,642
Samahan wataalamu wa long vehicles wanipe maarifa na gharama hua zinakuaje, lengo niitoe pikipiki aina ya haujiwea, kutoka masasi to iringa via songea.

Je, ni lorry, busses, or by truck?

Hakuna bus la moja kwa moja from masasi to iringa. Zinaishia Makambako.

Asanteni.
 
Hapo masasi ipakie kwenye lorry hadi songea! Ukifika Songea ipakie kwenye lorry za Bhanji zinazopeleka makaa Uganda.

Hawajawahi kukataa mizigo. Watakufikishia vizuri sana!!!
 
Pakia kwenye malori ya makaa ya mawe yanayotoka mtwara kwenda kupakia songea, nenda pale kwa dangote yaki mengi tu au bandarini. Songea pakia kwenye malori ya makaa ya mawe yanayoenda dar au yanayopitia dodoma.
 
Back
Top Bottom