Nateseka sana na hii simu

Akili ya kubeti

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
406
615
Screenshot_20231203-110505.jpg

Mimi ni mpenzi wa magemu hasa Yale ya Ppsspp sasa hii simu ni Infinix hot 30 play Niki download game kupaste data kwenye Zarchiver inagoma inaandika kama hivo pichani nimejaribu kuangalia YouTube nimetoka holaaa, Mwenye kujua kurekebisha ilo tatizo 🙏
 
Kwa ninavyofahamu,Hiyo ni restriction ya android kuanzia 13 na kuendelea , hauwezi ukapaste files kwenye baadhi ya system folders, kila kitu unatakiwa ukidownload moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom