Natengeneza Website (From Scratch or CMS(Wordpress) na blog OFA

Andazi

JF-Expert Member
Jul 30, 2022
1,083
2,176
Habari wakuu njoeni tufanye kazi

Mimi ni Developer nipo na team yangu tunatengeneza software zote isipokuwa Os tu

Ila tunapunguzo la bei kwa wanaoitaji website ya wordpress au domain na themes kwa ajili ya blogger tunaset up SEO and other related issues

Karibu PM

Ukiwa na 100k unapata wordpress website host ya mwezi mmoja na 1year .com domain

Maelewano yapo

Nipo kujibu maswali
 
photo_2024-07-09_23-40-31.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom