Natatuaje tatizo la Tablet za Pritom kupoteza network?

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
924
1,300
wadau nina zaidi ya vishikwambi 3 maarufu vya sensa (pritom tablet) zina shida ya kuandika emergency na kupoteza network kabisa.

Mtaalamu anijuze namna ya kutatu hilo tatizo tafadhali.
 
Back
Top Bottom