Leo ni siku ya kufungua shule nchini Uganda lakini kinacho nishangaza kila sekita ziko buzy na masuala ya shule, Benki kuna foreni ya kufa mtu watu wanalipia ada za wanao mitandao ya simu ya mobile money ni ya kuibahitasha kwasababu wanao fanya malipo ni wengi, foreni ya magari ndo usiseme kutoka EBB Airport mpaka mji mkuu gari haziendi ukiuuliza koda kwanini hivi unakuambia ni siku ya shule leo.
Wmachiga wameja mjini 90% wanauza scholasitic materials, bodaboda wamebeba watoto wa shule na magodoro yao, media zote mada ni za shule hasa mtaala mpya, police imetoa ujumbe wa sms kwa wazazi jinsi ya kukagua watoto wasiende na vitu haramu shulen hasa kwenye mikati wanaficha simu na madawa hatari, kwa ufupi hamna kazi zingine haziendi mpaka watoto warudi shule l,
Hali hiyo hiyo nilikutana nao Kenya kwamba biashara zote na matangazo zina lenga mashule kipindi cha kufungua, media zina jadili mitaala na competence ya watoto mpaka bodaboda wa Kenya wana jadili ma suala ya elimu.
Lakini kwetu huenda usijue hata siku ya kufungua shule ni lini au mtaala mpya ni nini? ila mkutano mkuu wa CCM au Chadema media zote zitafunikwa wa chambuzi wa masuala ya siasa watachambua siasa mpaka basi, lakini kwanini tuko hivo nani katuroga? Elimu ndo uti wa mgongo wa vizazi vyetu ila haupewi airtime tosha na wananchi hawana muamuko wengi wanaponda shule za EMs kama matimizi mabaya ya pesa na kuunga mkono elimu mbomvu ya St Kayumba.