G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,863
- 36,908
Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba.
Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo Janabi ni kioo cha maovu hayo. Nataka ashindwe na atashindwa tu.
Wewe JK zunguka nae weee ila atashindwa tu na atashindwa kwa sababu ya utawala mbovu wa Samia. Ashindwe kabisa arudi Muhimbili kuongelea vyakula na bia. Ashindwe tena!
Tunaendelea kusisitiza kuwa wana CCM msitarajie kuwa mtajiachia siku ya uchaguzi. Tutawavurugeni kweli kweli. Tutakuwepo!