Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,599
- 22,783
Kumekuwa na uvumi mtaani kuwa ukienda kupima DNA kwa mkemia mkuu huwa wanataka uanzie USTAWI WA JAMII NA KWA MWANASHERIA AMA ORDER kutoka mahakamani ambapo unasikilizwa kwanza nia yako na uamuzi wako wa kwa nini unataka kupima DNA then unapewa majibu kutokana na doubting yako.
Mfano familia lets say umedoubt kuwa kuna mtoto mmoja sio wako kwa mkemia mkuu wanakupa majibu kuwa ni Positive kwa asilimia 99.something hata kama huyo mtoto mkeo alikubambikia hii ni kutokana na uvumi kuwa wanapunguza wimbi la kuvunjika kwa ndoa na watoto kukosa matunzo na hivyo wanakupa jibu la kuwa mtoto ni wako ili kukuongezea imani na kukuondolea mawazo hasi ili ndoa izidi kudumu.
Hivyo nimeamua kumchukua rafiki yangu wa kike ambae ni mwanasheria na mtoto wake tujifanye sisi ni wanandoa ili tukatest huu uvumi wa ofisi ya MKEMIA MKUU kutupa majibu ya uongo.
Nimeamua kuchukua hatua hii kwa sababu kubwa tatu ya kwanza why kila anae enda akitoka kwenye familia anakutana na jibu mtoto ni wake na pili Why kwenye report za mkemia mkuu upande wa DNA huwa wanasema statistics zinaonesha watu walioenda kupima DNA 40% watoto sio wao ila cha kushangaza hatuwaoni hao watu mtaani.
Ya tatu why majibu ya report ya DNA hupewi mkononi ili urudi nayo nyumbani wanakusomea tu then wanabaki nayo? Nataka kujua uhalali wa ofisi yetu tukufu ya MKEMIA mkuu inakosaje huruma na mwanaume mwaminifu na kumlea mwanamke mhuni kisa tu mtoto atateseka.
Mwanaume nae aonewe huruma ADA, MALEZI yanatesa pia kwa nini huyu mwanamke mhuni nae asimpelekee mzigo huyo mwanaume mhuni mwenzie. Wake zetu wanazaa sana na ma Ex wao na nikijibiwa kuwa mtoto ni wangu nataka niwafungulie kesi ofisi ya MKEMIA mkuu.
NAOMBENI USHAURI KABLA YA UAMUZI HUU NIPUNGUZE KIPI AU NIBORESHE KIPI ALAFU NIRUDI NA FEEDBACK KWENU KWA NIA NJEMA JAMANI.
Asanteni.