Nataka nijaribu kuzama chumvini ili asinione mshamba

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Wengine wanasema huu mchezo hauhitaji hasira;
Sijawahi kabisa kwenda uvinza lakini bila kushinikizwa na yeyote na nikiwa na akili zangu timamu kwa mara ya kwanza naenda kuzama chumvini ili asinione mshamba.Nimeteseka kwa muda mrefu hadi kumnyaka huyu binti naombeni baraka zenu zakunitakia kwenda uvinza ili nije kutoa mrejesho wa kiasi cha madini chumvi nitakachokikuta huko mgodini
 

kuna kipindupindu angalia sana na magonjwa mengine mengi unekana mshamba tu ila p usilambe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…