Nataka kuwa Mchawi

M45

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
962
1,148
Habari za leo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunifunza namna ya kuwa karumanzila mahiri katika africa ya Mashariki kwa ujumla elimu yote ya Ulozi.

Karibu
 
Dah wewe ni mwanamke au mwanaume na nn faida yako katika hili unataraji upate pepo au moto kwa mungu naomba majibu
 
Habari za leo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunifunza namna ya kuwa karumanzila mahiri katika africa ya Mashariki kwa ujumla elimu yote ya Ulozi.

Karibu
kuna mtu unataka umlipizie kisasi nini?
 
huyu usikute valentine amepigwa kibuti mana from nowhere utake mambo hizo
 
Habari za leo.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunifunza namna ya kuwa karumanzila mahiri katika africa ya Mashariki kwa ujumla elimu yote ya Ulozi.

Karibu
Are u serious? unataka kuwa mchawi au mshirikina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…