Msubir Subir had mlingane kidogoHabarini wadau...ninataka kuoa binti niliyempita miaka 15...kuna ubaya wowote?mi nina miaka 38 na yeye 23.Asanteni
Mmmh mdanganye mwenzioMsubir Subir had mlingane kidogo
Hapana mkuu! Ni ushauri!Mmmh mdanganye mwenzio
Hapo hapana hapo wanadanganyana watoto wa siku hizi Ni pasua kichwaHapana mkuu! Ni ushauri!
Amsubir kidogo walingane
...inamaana mwana unataka kusema MFANO: wanaJF wakikushauri umuache utamuacha kweli au.....??Habarini wadau...ninataka kuoa binti niliyempita miaka 15...kuna ubaya wowote?mi nina miaka 38 na yeye 23.Asanteni
Nawaza sijui itakuwaje kwa huyu binti, nahisi nimemzidi umri sanaHabarini wadau...ninataka kuoa binti niliyempita miaka 15...kuna ubaya wowote?mi nina miaka 38 na yeye 23.Asanteni
Unataka kumkomaza papuchi yake kwa kosa gani mwache na yeye ale ujana kidogoHabarini wadau...ninataka kuoa binti niliyempita miaka 15...kuna ubaya wowote?mi nina miaka 38 na yeye 23.Asanteni
Sasa unampenda au ndo mnaenda kuishi kwa mazoea?Habarini wadau...ninataka kuoa binti niliyempita miaka 15...kuna ubaya wowote?mi nina miaka 38 na yeye 23.Asanteni